Pages

Wednesday, July 6, 2011

YANGA YAIFUATA SIMBA


Beki wa Yanga Oscer akirusha mpira katika lango la timu pinzani
Baadhi ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza

Mashabiki wa Red Sea wakilalamika kwa refa

Kipa wa Yanga akijaribu kuokoa penati

Timu ya Yanga imeweza kuingia katika hatua ya nusu final baada ya kuifunga Red Sea kwa penati 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika bila kufungana.Penati ya yanga iliyowapa ushindi ni iliyopigwa na Nurdini Bakari.
Nusu fainali itaendelea Alhamisi kati ya El-Meleikh vs Simba na Ijumaa Yanga vs SG

No comments:

Post a Comment