Pages

Wednesday, July 6, 2011

TAMASHA LA NG`OMBE UHISPANIA LAANZA

Hatari: Kijana akijaribu kumkwepa ng`ombe katika tamasha hilo.

Mtu akijiachia kwenye baadhi ya minara iliyokuwepo

Watu waliokusanyika katika tamasha hilo

Vishada vikiwa hewani kuonyesha ishara ya kufunguliwa rasmi kwa tamasha hilo

Tamasha maarufu nchini Spain limeanza Lijulikano kama Bull Festiva makumi ya maelfu ya wenyeji na watalii hukusanyika katika mji wa Pamplona

No comments:

Post a Comment