Pages

Monday, September 22, 2014

MEJJAH MBUYA: SOUTH BEACH CYCLE AND CAMPING







South beach cycle and overnight camping last weekend was fun! Mzizima Agha Khan students had great time as well as sister Shamsa family had a great time on her birthday!...for the beach overnight camping experience,get together with friends and work colleagues ..feature bone fire,unlimited drinks,fish and fish BBQ from our experienced bush chefs will made your outdoor experience unforgettable..GO AFRIROOTS!

SHAMBA LA BIBI KATIKA HATUA YA MWISHO




Uwanja wa zamani wa Taifa ukiwa katika hatua za mwisho ya matengenezo ya uwanja huo

YAMOTO BAND YATIKISA DAR LIVE

 ha



 Mkata Mkaa Chege Chigunda
 Chege Temba Waue
 Aslay akiwa na Wema sepetu
Waandaji kushoto: Mudy K Babu Tale na Fella

SIMBA YABANWA NA MTIBWA

 
 ikiwa ligi ya VPL ikiendelea kwenye mzunguko wa kwanza Simba imeweza kulazimishwa suluhu ya 2-2 katika uwanja wake nyumbani magoli ya Simba yalifungwa na Shaban Kisiga na Hamis Tambwe wakati magoli ya Salim Ramadhani ligi hiyo itaendelea tena Jumamosi ijayo katika viwanja tofauti



Friday, September 19, 2014

YAMOTO BAND RASMI JUMAPILI

Yamoto Band yenye maskani yake Temeke Mikoroshini ambayo kwa sasa inatamba na nyimbo zake maraufu kama Nitajuta, Niseme na nyingine nyingi inatambulishwa rasmi Jumapili hii katika ukumbi wa Dar live shoo hii ikiwa inasimamiwa watayarishaji wakongwe wa burudani Usher family njoo uwaunge mkono Yamoto Band.

Sunday, September 14, 2014

DUH AFCON 2017 KWA HALI HII

 Tukiwa tumeomba kuandaa kombe la Africa 2017 hiki ni kiwanja ambacho wanatumia timu ya ligi daraja pili Tanzania tafakari
 Uwanja na jalala

MALORI YAWA KERO

Suala la malori kuendelea kuingia mitaani inazidi kuongezeka ambapo sasa wanannua nyumba na kugeuza sehem za kupaki magari na kufanya marekenisho ya magari hayo

Wednesday, September 10, 2014