Pages

Tuesday, July 29, 2014

MZARAMO KATIKA MASHINDANO YA MADOLA GRASCOW

Kaka mkubwa Solomon Samson akiwa katika moja ya viwanja vinavyotumika katika mashindano ya madola jiji Grascow asante kwa kutuwakilisha watoto wa Temeke

HALI YA MTWARA MCHANA HUU

 Hali halisi ya mazingira ya Mtwara mchana huu










SALA YA IDD MSIKITI WA TEMEKE MWISHO

 Imam akihutubia baada ya sala ya Idd na kuwaekeza nini cha kufanya katika kipindi hiki cha sikukuu ya Idd
 Baadhi ya waumini waliohudhuria katika ibada hiyo



Temeke Pamoja inawatakia kila la kheri katika sikukuu ya Idd

Tuesday, July 8, 2014

BALAA LAIKUMBUKA BRAZIL







Mpaka mwisho BRAZIL 1- GERMAN 7 German inasubiri Mshindi kati ya Holland n'a Argentina

Monday, July 7, 2014

FUTARI YA LEO KWA MZEE MVUMA





Leo tulipata nafasi ya kufturu na mzee wetu, Mvuma nyumbani kwake temeke mtaa mombo wailes.shukrani kwa sadaka yako inshallah Mungu akulipe yalo mema kwako.

Friday, July 4, 2014