Pages

Sunday, November 21, 2010

AMKA KIJANA UWANJA WA UHURU (SHAMBA LA BIBI)

 Waandaaji wa Tamasha la Amka kijana Saidi Fellah na Clifford Ndimbo

 Baadhi ya wasanii waliohudhuria tamasha hilo

 Dogo Mfaume na KR
 falsafa, Aman Temba na Fatah Mwalongo
 Wapenzi waliohudhuria tamasha hilo walipata kuona na mechi ya kirafiki kati ya Simba na Azam na matokeo simba alifungwa kwa goli 3-2

 Bonga katikati na wadau
 Diwani Mstaafu kata ya Miburani Mh.Foto mwenye flana nyeusi na Yanga Bomba

 Rashidi Chidi Gumbo kiungo Mchezeshaji Simba Sports Club

Pacheko alikabidhiwa suala zima la mahesabu

Thursday, November 18, 2010

WAKAZI WA MATUMBI WALALAMIKA

Baadhi ya madereva wa Tax wakijadili kuhusu suala la wenzao kukamatwa na
                                           msimizi wa kituo cha mafuta cha Matumbi Mwembe yanga

                          Sababu kubwa ya kukamatwa kwa dereva hao ni kukaa katika ukuta huu

                                         Mpita njia akikatiza katika eneo hilo.
Wanaomba Wahusika wasikilize suala hilo kwa ni wamekuwa
 wakipata tabu kutoka kwa msimamizi huyo kuwasumbua na ukizingatia
 eneo halilojenga wanasema ni la kuwa wazi.

Saturday, November 13, 2010

UZINDUZI WA ALBUM YA DAMU NZITO - COAST MODERN TAARAB UKUMBI WA BULIAGA BAR TEMEKE MWISHO

                            Fm Academia walifanya kazi nzuri katika kuhakikisha kila kitu kinaenda
                            sawa
                     Nipe 770 Wanaume halisi Wakiongozwa na Juma Nature Walipiga shoo ya kufa mtu


                                                 Juma Nature Pamoja na Inspector Haruni Babu

                               Baada ya yote kazi ilikuwa hapa sasa Omary Tego akiingia ukumbini

                                     aaaaah eeeeeeeeeh iiiiiiiiiiiiiih ooooooooooooh uuuuuuuuuh

                              Watu walikipata kila walichotarajia hapa viti vyote hakuna aliyekaa

                                                                  Coast Modern Taarab

                                    Issa kijoti alikuwepo kumpa nguvu ndugu yake Omary Tego

                                                                Jax Harambe na Mkewe