Pages

Thursday, November 18, 2010

WAKAZI WA MATUMBI WALALAMIKA

Baadhi ya madereva wa Tax wakijadili kuhusu suala la wenzao kukamatwa na
                                           msimizi wa kituo cha mafuta cha Matumbi Mwembe yanga

                          Sababu kubwa ya kukamatwa kwa dereva hao ni kukaa katika ukuta huu

                                         Mpita njia akikatiza katika eneo hilo.
Wanaomba Wahusika wasikilize suala hilo kwa ni wamekuwa
 wakipata tabu kutoka kwa msimamizi huyo kuwasumbua na ukizingatia
 eneo halilojenga wanasema ni la kuwa wazi.

No comments:

Post a Comment