Pages

Sunday, March 31, 2013

Jalala lililopo eneo pembezoni na ofisi ya Mtendaji Kata ya Azimio, Kota za Temeke.


Hili ni Jalala lililopo Temeke mwisho jijini Dar es Salaam Tanzania maeneo ya Kota za Temeke pembezoni mwa ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Azimio. Jalala hilo limekuwa kero sana kutokana na moshi unaotoka hapo pamoja harufu kali inayosindikizwa na uvundo, hali inayohatarisha afya za wakazi wa pembezoni na jalala hilo. Chakujiuliza Serkali ya mtaa inafanya nini? Mtendaji wa kata ya azimio anafanya nini? Tanzania ni zaidi ya wewe unavyoijua.

Friday, March 29, 2013

Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatoa Heri Ya Pasaka


Umoja wa watanzania waishio Ujerumani,
Unawatakia kila la heri ya Sikuu ya Pasaka
watanzania wote popote mlipo,
Upendo na Amani katika jamii
ndio msingi imra wa watanzania.
Pasaka Njema

Mfundo. P.Mfundo
Mwenyekiti (UTU) Ujerumani

JENGO LA GHOROFA 16 LAPOROMOKA DAR

Jengo ambalo limeanguka asubuhi ya leo jijini Dar es salaam, Jengo hilo lipo katika mitaa ya indhra ghan na market






Msaada wa picha Channel ten

Wednesday, March 27, 2013

Ukarabati wa Barabara Temeke.


Hii ni barabara ya Temeke Mwisho ikiwa katika ukarabati kuanzia eneo la Posta na ilipo ofisi ya CCM kata ya 15. Ni kipande chenye takribani mita 70. Kipande hicho cha barabara kimekuwa kero kwa muda mrefu kwa wakazi wa eneo la Temeke na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam.



TEMEKE LEO HALI SHWARIIIIIIIII

 Maeneo ya Temeke Mwisho
 Gari nililopanda waungwana hili maji mpaka chumbani
 Stendi
kiza kimetanda barabara ya Kilwa

Monday, March 25, 2013

MHADHARA WA HIP HOP NA UHALISIA- NASH MC






TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA MHADHARA WA ELIMU KUHUSU HISTORIA YA HIP HOP NA UHALISIA WAKE ULIOFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA JANA (U DOM)..WATU WENGI WALIJITOKEZA NA ILIKUA NI SIKU YA HISTORIA SANA!! MHADHIRI NASHIR ALIKUA NA JUKUMU LA KUENDESHA MHADHARA HUO AMBAO ULICHUKUA ZAIDI YA SAA 4!! NITAPITA KILA CHUO KUHAKIKISHA ELIMU JUU YA UTAMADUNI WA HIP HOP UNASAMBAA IPASAVYO!! MUNGU TUBARIKI!!
Nash Mc Mpalestina

Ngoma Africa Band growing stronger and stronger in Europe !


Ngoma Africa Band, a German based Tanzanian band is now one of the oldest and most successful Africans bands in Germany.

Many African bands in Europe hardly survive for more than a year. Yet Ngoma Africa Band, founded by Ebrahim Makunja aka Ras Makunja in 1993, is still growing stronger.
The band plays "Bongo Dance", which is a unique combination of traditional and modern Tanzanian rhythms with  Soukous and Rumba. All theirs songs are in Kiswahili.

Ngoma Africa Band has released several successful hits including “Mama Kimwaga” (Sugar Mummy), “Anti-Corruption Squad” and “Apache wacha Pombe” (Stop over drinking).

In 2010 Ngoma Africa Band released a single in praise of Tanzania’s President Jakaya Kikwete. The song titled “Jakaya Kikwete 2010” praises Mr. Kikwete’s good leadership skills and commitment to fight corruption.

On 12th August 2012, Ngoma Africa Band received the International Diaspora Award (IDA) at the International African Festival Tubingen 2012, Germany, for their hard work in promoting East African music throughout Europe.

Ms. Susan Muyang Tatah, CEO of the International African Festival Tubingen 2012 said Ngoma Africa Band was also chosen for the Award because of their creative performance on stage. It’s difficult to resist dancing at their concerts, she said.

This year the band released a new CD titled "Bongo Tambarare" featuring "Supu ya Mawe" and "Uhuru wa Habari". The new release is already dominating air waves in Tanzania.

"Supu ya Mawe" advices the listeners to work hard and be patient while pursuing their objectives in life. It also appeals for generosity towards the needy.

"Uhuru wa Habari" praises African journalists who are bold enough to speak out the truth in environments where freedom of speech is quite limited.

Ngoma Africa Band is famous for staging thrilling shows in festivals in different parts of Europe. The band’s joyful female dancers, wearing traditional costumes and dancing vigorously to their tunes, always leave fans asking for more.
 
Ngoma Africa Band is composed of talented young musicians including soloist Christian Bakotessa aka Chris-B, Said Vuai, Matondo Benda, Jonathan Sousa, Aj Nbongo, Prince Zongolo, Bedi Beraca "Bella" and Jessy Ouyah.

Tuesday, March 19, 2013

ZAWADI TOKA KWA BIBI



Nimeletewa zawadi ya kitanda na Bibi kwa waliobahatika kukijua thamani yake kipindi cha mwalimu wanajua thamani yake ilikuwaje, cha kale dhahabu najiandaa kukipiga msasa.

Monday, March 18, 2013

AJALI MTONI KWA AZIZ ALI


Lori likiwa limepinduka maeneo ya mzunguko wa Mtoni kwa Aziz Ali baada ya vishikia vyake kutofungwa

Sunday, March 17, 2013

HADI MJINI MAJI SHIDA

 Baadhi ya watoto waliokutwa maeneo ya temeke wakichota maji kwenye bomba lililopasuka la dawasco.
kipindi kirefu wanasema wanatumia maji ya kisima kwa siku kama ya leo sikukuu kwao
Usalama haupo kwa hapa

MTONI MADAFU NA MBAGALA

 Maeneo ya Mbagala Rangi Tatu
 kituo cha Mbagala Rangi tatu
 Mbagala kituoni nje
 Mtoni Madafu


Maeneo tofauti ya Mtoni Madafu

Saturday, March 16, 2013

YANGA YAIFUNGA RUVU SHOOTING

 Goli lilifungwa na Hamis Kiiza limezidi kuipaisha Yanga katika nafasi ya kwanza baada ya kuifunga Ruvu shooting goli 1-0


 washabiki wa Yanga
 Wadau kushoto: Amigo, Sayanah Mwalongo na Mussa wakifatilia pambano

 Hassab Dilunga akijaribu kuwapita wachezaji wa Yanga Haruna Niyonzima na Abdul Juma

Hassan Dilunga mmoja wa kiungo tegemezi wa Ruvu Shooting

Saturday, March 9, 2013

TAARIFA YA MSIBA WA DADA YETU

FAMILIA YA MJUMA JUMA WA TEMEKE WAILES KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA INATOA TAARIFA YA BINTI YAO MPENDWA BUZU JUMA MAARUFU BABY AMBAYE AMEFARIKI SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 8 MWEZI 3 2013 KATIKA HOSPITAL YA RUFAA YA MUHIMBILI. NA UTARATIBU WA MAZISHI UTAFANYIKA NYUMBANI KWAO TEMEKE WAILES MTAA WA MKUMBA SAA 7 SIKU YA JUMAPILI
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA AMIN