Pages

Wednesday, March 27, 2013

Ukarabati wa Barabara Temeke.


Hii ni barabara ya Temeke Mwisho ikiwa katika ukarabati kuanzia eneo la Posta na ilipo ofisi ya CCM kata ya 15. Ni kipande chenye takribani mita 70. Kipande hicho cha barabara kimekuwa kero kwa muda mrefu kwa wakazi wa eneo la Temeke na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam.