Pages

Sunday, March 31, 2013

Jalala lililopo eneo pembezoni na ofisi ya Mtendaji Kata ya Azimio, Kota za Temeke.


Hili ni Jalala lililopo Temeke mwisho jijini Dar es Salaam Tanzania maeneo ya Kota za Temeke pembezoni mwa ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Azimio. Jalala hilo limekuwa kero sana kutokana na moshi unaotoka hapo pamoja harufu kali inayosindikizwa na uvundo, hali inayohatarisha afya za wakazi wa pembezoni na jalala hilo. Chakujiuliza Serkali ya mtaa inafanya nini? Mtendaji wa kata ya azimio anafanya nini? Tanzania ni zaidi ya wewe unavyoijua.