Pages

Wednesday, October 30, 2013

MAMA LISHE NA MAZINGIRA


                                                                     TEMEKE

UCHOCHORO WA MAKAHABA TEMEKE SUDANI



VICHOCHORO VYETU

Temeke Na mazingira halisi ya vichochoro vyao 

                                                                    Temeke kwanza

Monday, October 21, 2013

Baada ya Simba S.C kupiga pasi kama Barcelona na kusawazisha goli 3. Shabiki wa Yanga aamua kuikacha timu yake ya Yanga na kuhamia mtaa wa Msimbazi.

Mudy almaarufu Mudy Sumu au Mudy Msomali mwanachama wa Faita Jogger wa Temeke Mtaa wa Kitomondo akiwa amevaa uzi wa Wekundu baada ya kukunwa na soka la wana Msimbazi kwenye mechi baina ya timu hizo zilipokutana kwenye mpambano wa 20-Octoba-2013. Welcome ndugu Mudy uje kula raha Msimbazi.
Mzee Masoud Bima akimkaribisha rasmi Mudy Sumu kunako Msimbazi. Mzee Masoud ni Mwanachama wa tawi la Simba linaloitwa Mapambano lililoko Temeke Mwisho 
Dar es Salaam. Wapenzi wengine wa Yanga wanakaribishwa kunako Msimbazi.

Sunday, October 20, 2013

SIMBA YAIDUWAZA YANGA

                                                                   Simba wakiwasili kiwanjani 
                                                     Shabiki namba moja wa simba
                                         Baada ya mechi za timu B kati ya  simba na yanga kuisha
       Wapenzi wa Yanga wakiwa na bango lenye ujmbe REFEREE NO PENALTY TODAY PLIIIZ
                                        Wachezaji wa timu zote mbili wakijiandaa na mechi
                                      Simba wakipasha misuli kabla ya mchezo na watani wao wa jadi.
                              Yanga wakipasha misuli kabla yamchezo wao na watani wao wa jadi.
                        Simba Yanga wakisalimiana kabla ya mchezo wao wa kwanza kwenye ligi
                                                               Mashabiki wa Yanga....
                                                              Mashabiki wa Simba.....
                               Goal la kwanza la mshambuliaji wa Yanga  mrisho ngasa
                                       Mwombeki akiipati Simba Goal la kwanza
                                                        Goal la pili la simba joseph owino
                                 team temeke pamoja wakifatilia mchezo kati ya Simba na Yanga
                                           Mlinda lago wa Simba akipatiwa matibabu
                                     Simba wakijipatia Goal la kusawazisha  la tatu
                 Shabiki wa Simba akiwa kapoteza fahamu baada ya kufungwa goal la tatu
Mchezo ukiwa umemalizika kwa sare ya 3-3

MTANI JEMBE NDANI YA CCM KATA 14


Thursday, October 10, 2013

ASASI ZA KIJAMII ZA TEMEKE ZAASWA

Waandishi wa ripoti kutoka asasi zinazofanya kazi ya kupambana na vvu manispaa ya temeke wakiwa katika mkutano wa robo ya tatu ya mwaka huu
Afisa maendeleo ya jamii wa manispaa ya temeke ndugu John Bwana amezitaka asasi zinazojihusisha na mapambano dhidi ya virusi vya ukimwi katika jamii ndani ya manispaa ya Temeke kuwasilisha ripoti zao za kila robo katika mwaka katika vyombo husika serikalini.
Akizungumza na waandishi wa ripoti wa asasi zaidi ya sitini katika ukumbi wa mikutano wa shule ya msingi wailesi waiofika katika mkutano huo wa robo ya tatu katika mwaka huu wa 2013 ndugu Bwana alisema " njia nzuri ya kujenga mahusiano na mawasiliano mazuri baina ya asasi na serikali ni ni kwa njia ya asasi kulazimika kuwasilisha ripoti za kazi zao serikalini kwani ripoti hizo zitaisaidia serikali kujua asasi gani inafanya kazi, kwa ukubwa upi na ina changamoto zipi zinazoikabili na isitoshe sisi serikali tunaweza kuandaa mipango yetu ya kiutekelezaji kulingana na taarifa tunazoletewa na inatusaidia pia kutambua ukubwa wa tatizo au kupungua kwa tatizo pia itatusaidia kutambua asasi za kiuzipa kipaumbele kwa kushirikiana nazo".
Wakati huohuo asasi hizo katika kuchangia majadiliano kwenye mkutano huo zimeeleza mafanikio katika kupambana na hali ya maambukizi ya vvu, kwani wameweza kuwafikia watu wengi katika jamii kwa kuwapatia elimu ya kutokupata maambukizi ya vvu kwa kutoendelea kufanya ngono zembe na kwa wale wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wamepatiwa elimu ya ujasiliamali na kuanzishiwa huduma ya vikoba ili waweze kujiajili kwa ajira iliyosalama kwa afya zao.
Katika ripoti zote zilizowasilishwa na asasi ripoti ya asasi inayojulikana kwa jina la STAY AWARE NETORK (SANA) yenye makao makuu yake sinza na inajihusisha na uzuiaji wa maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa kundi lililosahaulika la watu wanaofanya mapenzi wenye jinsi moja inayofanana ndio iliyoleta msisimko mkubwa kwa wajumbe waliohudhuria mkutano huo.
Asasi hiyo ilikumbusha jamii kuwa wwakati jamii inaweka vipaumbele vya mapambano ya vvu inawasahau kundi ilo ambalo lipo kwenye jamii na limegawanyika katika sehemu tatu kundi la kwanza ni la wanaume wanaopenda wanaume wenzao kwa kuwageuza wake zao, kundi la pili ni la wanaume wanaopenda kugeuzana wanawake kwa kufanya panzi kwa kugeuzana na kundi la tau ni la wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume wenzao huku wakifanya mapeni na wanawake kwa njia iliyokubalika.
Mtaalamu huyo alielezea maambukizi ya vvu utokea kutokana na michubuko inayotokea kutokana na njia hiyo inayotumika kutokuwa lengwa kwa kazi hiyo ya kujamiiana na usababisha maambukizi kutokea na kusambaa kwa njia ya mtandao wa ngono zembe.
Na alimaliza kwa kusema hata wanawake wanaosagana pia upata maabukizi kwa urahisi kwani hakuna kinga inayowazuia wasiambukazane vvu wakati wa tendo ilo la ngono kwa njia ya kusagana
by: Denis Chakoma.

BINGWA WA KUNYOA VIPARA

 Hii ilikuwa saa nane usiku huyu ndio alikuwa wa mwisho kunyolewa maeneo ya kichangani Mtoni
 Kazi inaendelea

KIMETIBUKA

Maeneo ya Mtoni kwa Kindande Ugomvi jambo la kawaida

MBWIGA KATIKA MISHE ZAKE

 Mbwiga akiwa moja katika kipindi chake cha ndondo maeneo ya Temeke

KARIAKOO MCHANA HUU

 Eneo la kamata mchana huu

Tuesday, October 1, 2013

KITU CHA UPUPU


FOLENI YA DAR HATARI

Hali ya foleni kwa jiji la dar es salaam imekuwa mbaya kuanzia jana mpaka leo barabara zote zimefunga sasa sijui tatizo nn

MARK 2 B(SIMBA) KUZIKWA MCHANA HUU

Msanii wa kundi la wateule mark 2 B au Simba wa kati anazikwa mchana huu katika makaburi ya yombo kwa Abiola picha zaidi endelea kutembelea ukurasa wetu