Pages

Monday, October 21, 2013

Baada ya Simba S.C kupiga pasi kama Barcelona na kusawazisha goli 3. Shabiki wa Yanga aamua kuikacha timu yake ya Yanga na kuhamia mtaa wa Msimbazi.

Mudy almaarufu Mudy Sumu au Mudy Msomali mwanachama wa Faita Jogger wa Temeke Mtaa wa Kitomondo akiwa amevaa uzi wa Wekundu baada ya kukunwa na soka la wana Msimbazi kwenye mechi baina ya timu hizo zilipokutana kwenye mpambano wa 20-Octoba-2013. Welcome ndugu Mudy uje kula raha Msimbazi.
Mzee Masoud Bima akimkaribisha rasmi Mudy Sumu kunako Msimbazi. Mzee Masoud ni Mwanachama wa tawi la Simba linaloitwa Mapambano lililoko Temeke Mwisho 
Dar es Salaam. Wapenzi wengine wa Yanga wanakaribishwa kunako Msimbazi.