Pages

Wednesday, March 6, 2013

NYUMBANI NI NYUMBANI-NA JABIR SALEH

 Mwendeshaji wa kipimdi cha Jump Off - Times FM Jabir Saleh akijiandaa kufanya mahojiano na baadhi ya vijana waliokuwepo katika duka la Temeke Pamoja kinachorushwa kuanzia saa 2 usiku
 Mtangazaji wa Jump off Jabir akifanya mahojiano na Nasra ambaye ni msimamizi wa duka la TemekePamoja
 Mahojiano yamepamba moto
Maongezi yakapamba moto hapa unataka kujua nn kilichozungumzwa sikiliza kila siku kuanzia saa 2 times fm radio