Pages

Sunday, November 21, 2010

AMKA KIJANA UWANJA WA UHURU (SHAMBA LA BIBI)

 Waandaaji wa Tamasha la Amka kijana Saidi Fellah na Clifford Ndimbo

 Baadhi ya wasanii waliohudhuria tamasha hilo

 Dogo Mfaume na KR
 falsafa, Aman Temba na Fatah Mwalongo
 Wapenzi waliohudhuria tamasha hilo walipata kuona na mechi ya kirafiki kati ya Simba na Azam na matokeo simba alifungwa kwa goli 3-2

 Bonga katikati na wadau
 Diwani Mstaafu kata ya Miburani Mh.Foto mwenye flana nyeusi na Yanga Bomba

 Rashidi Chidi Gumbo kiungo Mchezeshaji Simba Sports Club

Pacheko alikabidhiwa suala zima la mahesabu

No comments:

Post a Comment