Pages

Friday, September 19, 2014

YAMOTO BAND RASMI JUMAPILI

Yamoto Band yenye maskani yake Temeke Mikoroshini ambayo kwa sasa inatamba na nyimbo zake maraufu kama Nitajuta, Niseme na nyingine nyingi inatambulishwa rasmi Jumapili hii katika ukumbi wa Dar live shoo hii ikiwa inasimamiwa watayarishaji wakongwe wa burudani Usher family njoo uwaunge mkono Yamoto Band.

No comments:

Post a Comment