Pages

Monday, September 22, 2014

SIMBA YABANWA NA MTIBWA

 
 ikiwa ligi ya VPL ikiendelea kwenye mzunguko wa kwanza Simba imeweza kulazimishwa suluhu ya 2-2 katika uwanja wake nyumbani magoli ya Simba yalifungwa na Shaban Kisiga na Hamis Tambwe wakati magoli ya Salim Ramadhani ligi hiyo itaendelea tena Jumamosi ijayo katika viwanja tofauti



No comments:

Post a Comment