Pages

Saturday, July 16, 2011

ALIPOINGILIA SIPO

Mashabiki wa Liverpool wakijaribu kumvua jezi mshabiki wa manchester United aliyevaa jezi ya rooney aliyeingia katika upande wa Liverpool,

Kushoto akivuliwa jezi na mashabiki wa Liverpool. kulia akifarijiwa na baadhi walinzi wa uwanja

No comments:

Post a Comment