Pages

Tuesday, July 26, 2011

SAID HAMISI na Bi ZAINAB (Mboni) Wafunga Ndoa

 Bwana Harusi Katikati akiingia Ukumbini na wapambe wake

 Bwana harusi Saidy Hamisi (Koyo) akimvisha pete Bi harusi Zainab

 Bi. Zainab(Mboni) na Bw. Saidy Koyo

 Picha ya moja ya familia kwa ukumbusho

 Kuliawaliosimama: Sele, Mjomba Mgaya, Hamadi na Abdul

Kushoto Mish Digital Production Saidy Bungara alikuwepo kuweka sawa mambo yote ya Media

No comments:

Post a Comment