Pages

Wednesday, July 13, 2011

MAZISHI YA FARISI SAIDI ACHIMWENE

Marehemu Farisi Said

Baadhi ya rafiki wa karibu waliohudhuria katika msiba huo David Beatus Michael Ziwakuu Mwenye shati la mistari pamoja na simon Butte.

Tambwe Hizza pamoja na kocha wa Moro Utd Hassan Banyai (Ginks)
Yahya Issa Hassan Banyai

Kutoka kushoto, Fauz Seif, Suma Addo, Capt. Mngodo pamoja na Bogwa walikuwepo katika msiba ambapo mazishi yake yalifanyika katika makaburi ya Chan`gombe

Saidi bungara pamoja Alex Mulisa

Kushoto Ally Sule, akiwa pamoja na Othman Faya
Selemani Mkati pamoja Mohamedi Husein na Kaburu

Mohamedi Unyago wakizungumza jambo na Mzee Sulle

Kaka wa Marehemu Abdul Achimwene akifarijiwa na baadhi ya jamaa wake wa karibu.

 Chale Bonny mwenye flana ya njano, Athuman Faya Flana ya ngazi , Fanaka,gadi Mula wakibadilishana mawazo
 Mwalimu Abdul Mingange akiwa Salvatory Edward moja ya zao lake katika timu ya Opec nao waliweza kuhudhuria katika maziko yake, Temeke pamoja itajaribu kumtafuta Mwalimu Mingange kuna sula inabidi tujaribu kuongea nae ana mambo mengi ya kutueleza

 Simon Butte pamoja na Dubwi moja zao la Mwalimu Mingange

 baadhi ya watu waliohudhuria makaburini

Nyanda Peter Kabea,mwenye flana, Mjumbe wa Tefa Fikiri Magoso,mwenye kofia diwani aliyepita wa Miburani Photonatus Mangwela pamoja na Abas Bungara

5 comments:

  1. Farsy ulikuwa fundi katika soka, nilibahatika kukuona sana hasa ukiwa na British nili ku admire na unapokuwa katika line up ushindi nilikuwa nautazamia kwa asilimia kubwa sana.
    Mapenzi yake Mungu yametimia na kwetu tunacholazimu kwako ni kumuomba Mwenyezi mungu (Subhaana hua Taala)akusamehe madhambi yako na ailaze roho yako mahali pema peponi - AMIN.

    ReplyDelete
  2. Rest in peace hommie!!...salaam toka kwa mdau Chris(kobu),st.louis,missouri.
    mungu amlaze pema peponi,amin.

    ReplyDelete
  3. Sad news! Ndio naona hii habari.
    R.I.P. Faris
    Abdul na family poleni sana.

    PAMOJA thanks for posting the news.
    Pierre
    London,

    ReplyDelete
  4. Poleni familia ya Achimwene, Abdu (Costa) pole sana, British FC

    Rest in peace Farsy

    De Gouza
    Houston (USA)

    ReplyDelete
  5. dah poleni na msiba,yaani unanikumbusha majamaa kibao hapo wa kitaa,namuona Fanaka na gadi mulla,Safi sana hii blogu Mdau Gurba!

    ReplyDelete