Pages

Monday, July 25, 2011

JK AONGOZA SHEREHE ZA MASHUJAA NALIENDELE MTWARA


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wazee walioshiriki katika vita kuu vya vipi vya dunia  chini ya jeshi la mkoloni.


Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamunyange(kushoto) akimuongoza Amiri jeshi mkuu Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kukagua na kutoa heshima katika makaburi 101 ya mashujaa wa vita vya Msumbiji leo  asubuhi wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya mashujaa iliyofanyika huko Naliendele mkoani Mtwara.
Amiri Jeshi mkuu, Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka silaha za jadi katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa wa vita vya Msumbiji huko Naliendele, Mtwara leo asubuhi katika maadhisho ya siku ya mashujaa iliyofanyika kitaifa mkoani Mtwara.
Msaada: mjengwa.blogspot.com
 

No comments:

Post a Comment