Pages

Monday, July 25, 2011

TEMEKE MCHANA HUU

 Temeke Sudani kwa Mama Rukia kuna Chipsi yai za ukweli, mjomba Norman akipata chakula Mchana huu

Mjomba Norman hadi aje kula kwako ujue hiyo sehemu kaikubali haswa.

2 comments:

  1. Huyu Norman ni mtt wa Norman kiruke?

    ReplyDelete
  2. Hamna Norman wa Kiruke amefariki

    ReplyDelete