Pages

Wednesday, July 27, 2011

SALAM TOKA LONDON


A,alykum wadau wa temekepamoja nipo Emirates habari nzuri kwa wale wapenzi wa Arsenal Nasri haondoki na anaweza kusaini mkataba mpya kuanzia leo na siku zinazoendelea poleni wale wa upande wa pili na nawatakia siku njema

1 comment:

  1. mshaanza mipasho anaondoka hata mfanyaje

    ReplyDelete