Pages

Wednesday, July 27, 2011

JITEGEMEE YAENDELEA KUFANYA VIZURI AIRTEL RISING STAR

 Timu ya Shule ya Sekondari Yombo wakifanyiwa usahili kabla ya mechi kuanza.

 Shule ya Sekondari Jitegemee

 Moja ya hatari zilizotokea katika lango la Yombo.

 Moja ya goli lililofungwa na shule ya Jitegemee

mwenye Jezi nyeupe anaitwa DAGA ni mshambuliaji katika timu ya Jitegemee mechi 3 goli 6, kipaji kipya inabdi wadau tuanze kumfatilia huyu yuko kidato cha II
Katika mechi hiyo Jitegemee waliweza kushinda goli 2 - huku Yombo sekondari 0 na magori yeto ya shule ya sekondari Jitegemee yakifungwa na DAGA

No comments:

Post a Comment