Pages

Friday, July 8, 2011

YANGA YAIFUATA SIMBA FAINALI

Wachezaji wa Timu zote wakiingia uwanjani 

Wadau waliohudhuria

Moja ya hekaheka katika lango la timu ya Yanga
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kuwatoa SaintsGeogre Kwa Penati 5-4
Nadir Haroub akitolewa nje baada ya kuumia


Mdau wa Temeke katika soka mwalongo alikuwepo



Haji na Modest
Zubery mzee wa Matangazo yetu akifatilia pambano kati ya Yanga na Saint geogre
Mdau namba moja wa temeke pamoja Richard mayabu  akibadilishana mawazo na wadau wa wenzake wa soka

Timu ya Yanga imeweza kuwafuata wenzao Simba baada ya kuwafunga Sain geogre ya Ethiopia kwa penati 5-4 baada ya dakika 120 kucheza pasipo kufungana kwa matokeo hayo Simba na Yanga zitakutana Fainali itakayochezwa  Jumapili ili kumpata Bingwa mpya wa Kagame Cup

1 comment:

  1. Duh nawaona watoto kibao wa Temeke poa sana

    ReplyDelete