Pages

Saturday, July 23, 2011

BUSTANI YA TEMEKE HOSPITAL



Wape wadau hii nilipita Mitaa ya Temeke Hospital nikakuta kidogo kijani kimeenea na kumependeza kiasi chake mazingira si mabaya hongereni sana.

1 comment:

  1. Hata siamini kama ni tmk hosp kwani navyopajua mimi hamna nafasi ya kufanya vile pale tmk hosp hebu sule tuambie ukweli
    j.biboze

    ReplyDelete