Pages

Friday, July 29, 2011

JITE UTE FAINALI AIRTEL RISING STAR


kikosi cha Timu ya Sekondari Jitegemee



Jitegemee wakishangilia goli

Addo Akida akionyesha jezi ya mfungaji wa goli lao DAGA


Baadhi ya Walimu wa Michezo katika shule ya Sekondari Jitegemee

Wanafunzi wa Jitegemee wakisheherekea ushindi

Dua la Pamoja baada ya mechi kwisha

Zao jipya kulia. Addo Akida, fadhili Farijala na Raidhin

Shule ya Sekondari Jitegemee imefanikiwa kuingia hatua ya fainali katika mashindano ya Airtel Rising Stars yaliyofanyika katika Uwanja wa karume.

Bao pekee na la ushindi katika mchezo huo lilifungwa na ABDALLAH DAGA katika dk ya 84 baada ya kupokea pasi nzuri toka Addo Akida kwa matokeo hayo Jitegemee wanasubiri mshindi wa kituo cha pili.

No comments:

Post a Comment