Pages

Thursday, July 7, 2011

SIMBA FAINALI KAGAME CUP

Wananchi waliohudhurika katika mchezo wa nusu fainali kati ya El-mereikh vs Simba
Hatari katika lango la simba

Moja ya hatari katika lango la El-mereikh

waliweza kujaza uwanja katika eneo lao
Kipa wa El-Mereikh

Timu ya simba imeweza kuingia fainali ya kombe la kagame baada ya kuwafunga El-Mereikh kwa jumla ya penati 5-4 hadi dakika 90 mpira unaisha walikuwa wamefungana 1-1 zikaongezwa dakika 30 hakuna goli lililofungwa ndipo ikaamuliwa mshindi apatikane kwa njia ya penati ambazo penati za simba zilipigwa, jerry Santo, Cholo, kanoni, Machaku ambaye alikosa penati, Mafisango na Ulimboka.
Simba inasubiri mshindi wa Nusu fainal nyingine ambayo inachezwa leo kati Yanga vs St. Geogre

No comments:

Post a Comment