Pages

Saturday, July 23, 2011

WINE HOUSE AFARIKI

Mwimbaji maarufu mwanamke wa Uingereza, Amy Winehouse, amekutikana amekufa katika fleti yake mjini London.
Amy Winehouse
Alikuwa na umri wa mika 27 tu.
Amy Winehouse alishinda tuzo kadha kwa albamu yake ya pili, Back to Black, ambayo ilitolewa mwaka wa 2006.
Sababu ya kifo ni alijioverdoze katika utumiaji wake wa madawa ya kulevya.
Lakini mwimbaji huyo amekuwa akipambana na uraibu wa ulevi na mihadarati kwa muda.
Mara nyingi alitokeza kwenye tamasha huku amelewa.

 enzi za uhai wake akikatiza Mitaa

 Polisi wakikagua eneo ambalo Wine House alikuwa anakaa

 eneo ambalo alokuwa anaishi

No comments:

Post a Comment