Pages

Sunday, July 10, 2011

WAKATI MECHI INAENDELEA NJE KUKAWA HIVI

Mwananchi akitafuta maji baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliokuwepo nje ya uwanja.
Kushoto: Gaga, Modest Dr. na Matei na walikumbwa na hadha hiyo
Kila mtu machozi yalikuwa yakimtoka

Lakini baada ya mda watu walirudi tena kuendelea kuingia uwanjani

Hawa hawakutaka tabutena wakatafuta sehemu yenye unafuu na wakaendelea kuangali mechi kama kawaida

3 comments:

  1. Bongo noma polisi hawana busara kabisa

    ReplyDelete
  2. Dah umenikumbusha old traford yetu ya temeke hii kaka hapa ukitaka uone utam wake icheze man na arsenal kelele zakumwaga.

    ReplyDelete
  3. hatari mzee wa Darstockholm wabongo wanapenda sana mpira

    ReplyDelete