Pages

Monday, June 20, 2011

UNDER ZONE BINGWA FIESTA DANCE 2011

1,000,000/= ya kwetu

Sam Moris Bingwa alionyesha uwezo wa hali juu ni dancer katika kundi la Under Zone

Under Zone Crew
Matayarisho kabla ya kupanda stejini

Viongozi wa Under zone katika picha ya pamoja

kwa mara nyingine tena watoto toka temeke,ambao maskani yao Mtoni kwa Mama Marry  wameweza kuwa mabingwa wa Dance la Fiesta 2011 baada ya kuvibwaga vikundi vitano ambavyo vilifika katika Final. wanapenda kuwashukuru wakazi wote wa Temeke kwa ushirikiano wao waliouonyesha na mashabiki wote wa Underzone na tunahitaji msukumo wenu ili tuweze kufanya vizuri zaidi ya hapa ujumbe  wasijali Ubingwa upo DSM ndani ya TmK

1 comment:

  1. Fulllllll watoto wa Kiumeni mnaendelea kukimbiza kila la kheri j,|Pili ijayo

    ReplyDelete