Pages

Wednesday, June 8, 2011

BERRY BLACK TOUR & GENGE

Dj Farid aka Tmk mwenye miwani na wadau katika tour  Berry black ndani  Face Bar .
Dj Fabby Tmk na Jua Kali kwenye picha ya pamoja na Rais wa Genge (Juakali )

Dj Fabby akiwa mzigoni ni full maujuzi yuko vizuri mtoto wa temeke endelea kuwapoteza Dj Fugaflex pembeni

2 comments:

  1. Tmk huyu jamaaa noma huyupo kwenye game muda mrefu lakini mambo yake kama mkongwe

    ReplyDelete
  2. ANAWEZA KUMPOTEZA FUGAFLEX AKIMPOTEZ NDIO KIPIMO CHAKE CHA KUJUA NI NOMAAAA!

    ReplyDelete