Pages

Friday, June 10, 2011

I LOVE FOOTBALL



Hii nilipita viwanja vya African temeke kati ya shule ya msingi Muungano na Temeke kiukweli kabisa watu wanapenda sana hapa ilikuwa mechi kati ya Mtaa Bahati na Chang`ombe. wenyewe wanasema kama ww unakaa maeneo yanayozunguka kata 14 kama huchezi haya mashindano sio mwanasoka. hamasa kubwa sana na watu wanaojitokeza ni wengi sana changamoto nzuri kwa wakazi wa Temeke

1 comment:

  1. My name is Maulid Zahn John Mgaya ni mchezaji wa mpira nafasi Goalkeaper na timu nilyotokea ni timu inayocheza uwanja huo huo wa AFRICAN nimebahatika kucheza mashindano mbalimbali tokea nianze mpira uwanjani hapo mnapo 2004 nikiwa na umri wa miaka kumi na mbili naomba kiukweli ni kwamba Temeke ni mahali ambapo wananchi wake wanapenda Mpira na hata Wachezaji wanaocheza hapa wanauwezo kuliko Sehemu nyingine au Pembezoni mwa TEMEKE AREA,naomba tuboresheWE VIPAJI vyetu mm ni Goalkeaper nacheza Mpaka Leo Nje ya Nchi Hii lakini Sasa nimerudi lakini naona bado hali ni ileile,Nimecheza namba moja na DEO MUSHI ambaye sasa kasajiliwa AZAM FC kipindi hicho akiwa ni namba mbili Kwangu nami nikawa namba 1 kutokana na yeye kuwa mnene au kwa kauli nyingine alikuwa mzito sana namshukuru mungu kwa kumpa Kocha wangu aliyekuwa nafac niliyonayo anaitwa Fauzi kwa kujua kwamba mm ni mlinda mlango na kunipatia Mazoezi tokia kipindi hicho chini ya Uongozi wa Kocha Mkuu ALI JAFFAR MANYANI.Asanteni sana

    ReplyDelete