Pages

Sunday, June 5, 2011

A-PUB TMK WAILES

Mitaa ya Wailes Temeke A-Pub kila Jumamosi na jumapili kuna disco hapa nikakutana na watoto wa nyumbani Mudy 50, Mudy Tall na Sharifa wakiwa makini kufuatilia bingwa kiduku.
Mzee wa Program Hamadi Michumvi akiwa pamoja na Abdul mwana wa  Yanga

Mmasai kati akiwa na swahiba zake

Hawa jamaa ni wakali wanajiita Pasua kichwa walipiga shoo nzuri mno

Miss Usher 2010

Crew nzima ya Usher family

Tmk kuna vipaji hawa watoto ni hatari mana kila anayekuja zaidi ya aliyetoka

Abdul Mwana wa Yanga mwenye kadi ni Dj na Mc wa Usher Family 

No comments:

Post a Comment