Pages

Saturday, June 18, 2011

APONA KATIKA AJALI

Hafidh Passion ambaye  alikuwepo katika ajali hiyo


Asalam alykum,
Napenda kumshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea tulipata ajali ndugu ila tunashukuru hakuna aliyeweza kuumia katika ajali hiyo ilitokea Kimbiji wakati tunarudi nyumbani Temeke katika kona ya kuja Mbagala tatizo breki zilifeli na hali ya gari ilikuwa kama unavyoiona hapo juu.
Shukrani kwa wote walioweza kutusaidia katika ajali hiyo. 

2 comments:

  1. Mola apewe sifa!
    Poleni mliohusika katika ajali hiyo na heri kwa kulindwa afya zenu!

    ReplyDelete
  2. Poleni sana ila muwe waangalifu kidogo mana vijana nyie na muwe mnakagua gari

    ReplyDelete