Pages

Saturday, June 11, 2011

JAFARY MWAMBONA AZIKWA LEO

Marehemu Jafari Mwambona



Baadhi ya Ndugu wa karibu wa marehemu wakisubiri mwili wa marehemu Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere
Mwili wa marehemu ukiwasili katika uwanjani

Mwili wa Marehemu ukishushwa nyumbani kwao Temeke wailes Mt. Likwati ili kuswaliwa kwa sala ya mwisho
Mwili ukisindikizwa kwenda kuzika katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam

Baadhi ya watu waliohudhuria katika mazishi hayo

Taratibu za mwisho katika kuuhifadhi mwili wa marehemu


kaka wa Marehemu Thabit (Blue Boy) akimsikiliza Shk. Ally Muhidini ambaye ndiye aliyesimamia taratibu zote za mazishi

No comments:

Post a Comment