Pages

Thursday, May 10, 2012

WAKIVAA WAO WATALII UKIVAA WEWE...........

Haruna Moshi wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wachezaji wenzake walipokuwa Uwanja wa ndege wa Dar es salaam kujiandaa na safari ya Sudani katika mchezo wa marudiano dhidi ya  Al-ahly Shandy, Boban watu wengi walikuwa wanamshangaa Boban kwanini kavaa ndala kwani dhambi jamani nauliza

No comments:

Post a Comment