Pages

Sunday, May 6, 2012

MSIBA

Usher Family inatoa taarifa ya Msiba wa Mjomba wao Mpendwa Shukuru Mohamed maarufu JUMBE dalali kilichotokea nyumbani kwao chang`ombe usalama usiku wa kuamkia leo mazishi yanatarajia kufanyika alasiri ya leo Mtaa Yombo na Mtaa Mtakuja kwa Mama K na Maziko yatafanyika katika Makaburi ya Chang`ombe Temkeke

Mdau
Sayana Mwalongo

No comments:

Post a Comment