Pages

Friday, May 18, 2012

ROYAL GIRAFFE HOTEL YAKABIDHIWA RASMI

Hotel ya kisasa ya Royal Girrafe iliyopo Temeke Sudan ambayo imekabidhiwa rasmi leo
 Baadhi ya wasimamizi wakuu wa Hotel hiyo Idrissa na Rajabu
Mkurugenzi Mkuu wa Royal Girrafe Hotel Yusuph (Timbwa) akiwa na familia yake
 Baadhi ya watu walioalikwa katika ufunguzi huo
 Ukumbi wa Disco Full kiyoyozi
Dan



 Eddy madishi ndie aliyefunga camera na vyombo vyote vya viburudisho mwenye suti nyeusi pamoja na Roja Boy

2 comments:

  1. mwanzo mzuri kwa wadau wa temeke.huyu timbwa c mtoto wa kindengereko huyu?

    ReplyDelete