Pages

Thursday, May 10, 2012

MATOFALI YA MCHINA


Waswahili wanasema rahisi gharama zake kubwa ndio hii iliyowakuta ndugu zangu wa Mbagala kwa Nyoka picha ya juu Ni nyumba iliyojengwa hata mwezi haujaisha tangu kukamilika kwake mvua kidogo nayo imemomonyoka za chini baadhi ya maduka yaliyopo katika eneo hilo nayo yamepitiwa na dhoruba hilo sasa sijui urahisi wa kujenga au ndi matofali ya mchina

Hii sehemu unyoiona kulikuwa na nyumba mwenyewe alienda kazini aliyvo rudi akakuta hali kama unavyo iona kwahiyo kapoteza kila kitu.
kuna vitu tujaribu kuzingatia tusiangalie sana unafuu madhara yake ndio yanakuwa hivi

No comments:

Post a Comment