Pages

Monday, May 7, 2012

SIMBA 5 - YANGA 0

 Baadhi wa mashabiki wa Simba wakiwa katika nyuso za furaha ila inabidi tuwe tunavaa jezi za nyumbani

 Ushindi mzuri asikwambie mtu
 Moja ya matukio katika mechi hiyo
 Golikipa wa Simba Juma Kaseja akijaribu kuokoa moja ya hatari katika lango lake

 Felix Sunzu na Emmanuel Okwi
 Kiongozi wa Simba Kaburu akiwa na mmoja wa wachezaji wa Simba
Ushindi wa 5-0 nje ya uwanja ukiwa unaendelea

No comments:

Post a Comment