Pages

Tuesday, May 1, 2012

MEI MOSI MAMLAKA YA BANDARI

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Bandari Dar es Salaam wakiadhimisha siku yao katika uwanja wa Harbors Club Kurasini

 Wafanyakazi wa Bandari waliohudhuria sikukuu ya
Mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Bandari
Wazee Sugu wakiongozwa na Mzee King Kikii wakitoa burudani
Dah huyu mzee sijamuona siku nyingi jina la kisanii anaitwa Uledi kwa wale waliokuwa wanafatilia michezo kuigiza kwa njia ya redio Tanzania kipindi hicho watakuwa wanamfam

No comments:

Post a Comment