Pages

Thursday, December 1, 2011

MUNGU ANATUPENDA

 Haya ni Maeneo ya Sandari Temeke Mikoroshini na haya ni mazingira yetu yalivyo

 Babu akijipatia riziki yake kwa kufanya biashara ya kuuza mananasi ila angalia mazingira yanayomzunguka

 Kuhusu suala la barabara tushazoea

Watoto ndio sehemu yao ya michezo na Mazingira ndio haya
Ni temeke mikoroshini karibu na msikiti wa walugulu..kata ya sandali na mtaro unamwaka wa pili upo hivyo jiji wameusafisha mwaka huu mara1 katika miaka 3 walioujenga na chemba zote zimeziba

No comments:

Post a Comment