Pages

Friday, December 9, 2011

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Tanzania Bara

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akikagua vikosi vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania kikosi hiki ni cha Jeshi la Wananchi wanawake
Hili ni gari maalum kwa ajili ya madaraja
 
Waliokuwa nje ni mara tatu ya waliokuwa ndani na kila mtu alitaka        nafasi ya kuona
Hapa ilikuwa ni chai kwa ajili ya watoto na wanagunzi waliokuwepo katika mahafali
 Wengine mizinga iliwastua na hali ikawa tafarani

Hii ni Uwanja wa Taifa ambao baadhi ya watu waliokuwa wakifatilia matukio katika televisheni kubwa ya uwanjani

Moja ya rangi zilizotawala
Wanafunzi wakiwa katika sare za ulinzi
 Uwanja wa ndani wa Uhuru  nako kulikuwa hivi

Miaka 50 ya Uhuru

No comments:

Post a Comment