Pages

Sunday, December 4, 2011

KWETU SIE KILA KITU SHIDA WENZENU

Huku kwetu Umeme shida, Maji ndio kama hivi unavyoona tunazurura na mandoo tu usiku na watoto kama unawavyowaona hivi mpaka lini hii hali mtusaidie baadhi ya maneno yaliokuwa takisemwa na baadhi ya wakazi wa Temeke-Kitomondo baada ya kukosekana umeme na maji kwa kipindi cha wiki sasa
Mashaka matupu

No comments:

Post a Comment