Pages

Wednesday, December 21, 2011

MAAFA TEMEKE

 Hii ni barabara ya evereth kuelekea Mwembeyanga





 Hili ni eneo la  mzinga kati ya Mtoni na Mbagala



 utakachofanikiwa kutoka nacho ndio hichohicho baadhi ya waathirika wa mafuriko hayo wakiwa wamebeba vitanda.


 Hawa walifamikiwa kutoa kidogo baadhi ya vyombo vyao


Barabara nazo zikaachia
 kwa ufupi hii ndi hali ilivyokuwa maeneo kadhaa ya Temeke tuombe Mwenyezi Mungu awatie wepesi waliopata na matatizo haya na awape moyo wa subira na uvumilivu katika kupambana na hali mpya

2 comments:

  1. Duh!! hii ni balaa sana i feel the pain of those pipo.inasikitisha sana.

    ReplyDelete