Pages

Monday, December 26, 2011

UMATI YAPATA WALIMU

 Chama cha uzazi na malezi bora Tanzania Umati tawi la Temeke Kitomondo kimepata walimu wa kuweza kuwafundisha watoto wenye ulemavu, Picha ya juu ni baadhi ya Mwalimu akiwafundisha wanafunzi hao.

 Mwanafunzi Johnson Shamwa akiwa katika mafunzo hayo yanayoendelea

 Mwalimu wa Muziki akiwafundisha namna ya kutengeneza muziki


Walimu wakiwaburudisha wanafunzi wao baada ya kumaliza masomo

No comments:

Post a Comment