Pages

Friday, December 16, 2011

TANDIKA LEO

 Tandika sokoni eneo la stand

 Baadhi ya wananchi wakikatiza mitaa ya Tandika

 Benki ya Akiba ambayo imesogeza shughuli zake maeneo ya Tandika

 Kituo cha Mabasi cha Tandika - Tabata ambacho kipo katika hali mbaya kutokana na maji yanayonukka na kutoa harufu ambayo inawapa tabu wafanyabiashara na wakazi wa eneo hilo

Baadhi ya Maduka yaliyopo Tandika

2 comments:

  1. Dahh nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani! mtaa huo wenye maji machafu unaitwa chiwanda huo ndio mtaa wetu aisee koooote ntaenda lakini nyumbani ntarudi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kumebadilika kumekuwa kusafi tofauti na nilivyokuacha miaka 18 iliopita na muonekano wa watu ni mzuri mbali na matatizo nchi kiuchumi napapenda sana nyumbani hasa tandika nilipo zaliwa

      Delete