Pages

Friday, December 16, 2011

BONANZA LA X-MAS VIWANJA VYA BANDARI

Waandaji wa burudani wilaya ya Temeke Usher Family wameandaa Bonanza kubwa siku ya tarehe 25/12 katika viwanja vya Bandari hii inakuwa ni mara ya kwanza kuandaa kwenye viwanja hivyo kwa mwaka huu kutokana na watu wengi wanaotaka kuja kuona burudani hizo burudani hizo zinategemea kuanza saa 4 asubuhi ili kuwapa nafasi watu wote kuhudhuria.

No comments:

Post a Comment