Pages

Sunday, December 4, 2011

MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA RICH

 Maseikkh waliokuwepo katika kuongoza swala zima la mazishi

 Hapa ikitolewa sadaka kila mtu aliyehudhuria japo apate kabla ya kwenda kuzika Jax Harambe akiwa katika kitengo cha chakula
 Baadhi ya watu walioshiriki katika msiba huo wakiupeleka mwili wa marehemu kwenda kuhifadhiwa
 katika makaburi ya Changombe.

 Maeneo ya makaburini Temeke Chang`ombe

5 comments:

  1. Dah kiukweli inauma sana pale unaposikia mtu unaemjua ametangulia mbele ya haki ila hakuna chakukikwepa mbele yeye nyuma sisi.Tujiandae na safari hii muda wowote itakukuta haijali upo wapi.Mungu amlaze panapostahili kaka Richie amen.by kc karama

    ReplyDelete
  2. Masiki Rich he was so kind we gonna miss him 4 realy.

    ReplyDelete
  3. He was so kind,nice guy,always he keep calm and so good to people....he use to care about others inside TMK community,i miss him coz he went the same school wit ma Brothers in Chang'ombe shule ya msingi,and his girlfrnd was ma frnd too.But its all gravy Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libalikiwe.We gonna miss him 4 rly.by Mpui Buhinda Nyagi.

    ReplyDelete
  4. Wadau niko nyuma kidogo RICH yupi huyo?

    ReplyDelete