Pages

Sunday, December 25, 2011

NASH MC NA VIDEO YA MAALIM NASH


Msanii wa hip hop Nash Mc ameanza kutengeneza video yake mpya ya niite maalim video hiyo iliyofanywa katika maeneo tofauti ya Temeke picha hizi akiwa maeneo ya Temeke shule ya msingi madenge na hapa akiwa na kamera man wake wakijadili jinsi gani video iwe

Kazi imeanza



zilipigwa shot hadi za uchochoroni

Nash Mc na prodyuza wake katika hatua za mwisho za kumalizia video

No comments:

Post a Comment