Pages

Sunday, December 25, 2011

BONANZA LA X-MAS VIWANJA VYA BANDARI -PART I

 Mwanamama pekee aliyeshiriki katika soka akifanya kazi yake

 kushoto Hashim na Didan


 wafunga vyombo wa Jahazi wakiendelea na shughuli za ufungaji vyombo

 Watu wa Maakuli hawapo mbali nao
Kushoto: Dady Brown, Said Akida, Mzee Yusuf, Said Kessy, Muddy Tall na Macho wakiwa katika picha ya pamoja kabla jahazi hawajaenda kucheza na ndogo f.c

No comments:

Post a Comment